UAMINIFU NA UTHIBITISHO

Jua unayefanya naye kazi.

Ukurasa huu unaweka pamoja utambulisho rasmi wa KafukuTech, njia za mawasiliano, wigo wa huduma, faragha na taratibu za usalama ili mteja aweze kututhibitisha kabla ya kuanza mradi.

Utambulisho rasmi

KafukuTech

Tovuti
www.kafukutech.com
Barua pepe
info@kafukutech.com
Eneo
Kigoma, Tanzania
WIGO WA HUDUMA ZETU

Kampuni ya teknolojia yenye wigo ulio wazi.

KafukuTech ni mtoa huduma za teknolojia ya habari, programu na TEHAMA. Tunabuni, kutengeneza, kusimika na kusaidia mifumo ya kidijitali, programu, miunganisho, mitandao, CCTV na suluhisho nyingine za TEHAMA. Malipo kwa KafukuTech yanahusiana tu na huduma, miradi, matengenezo au bidhaa za programu zilizokubaliwa.

Uhandisi wa Programu

Mifumo ya wavuti, app za simu, database, portal na programu maalumu za biashara.

TEHAMA na Miundombinu

Mitandao ya kompyuta, internet, CCTV, miunganisho ya vifaa na msaada wa kiufundi.

API na Miunganisho

Miunganisho ya malipo yaliyoidhinishwa, SMS, ramani na huduma za wahusika wengine kwa mifumo ya wateja.

Malipo ya huduma pekee

Kila ombi la malipo lazima lihusishwe na quotation, invoice, mpango wa matengenezo au bidhaa ya programu ya KafukuTech iliyo rasmi.

THIBITISHA BIASHARA YETU

Tumia taarifa rasmi zinazolingana.

Biashara / chapaKafukuTech
Domain rasmi ya email@kafukutech.com
Eneo kuuKigoma, Tanzania
Mawasiliano ya msaadainfo@kafukutech.com

Kabla ya kufanya malipo ya mradi, thibitisha namba ya quotation au invoice pamoja na maelekezo ya malipo kupitia mawasiliano rasmi yaliyo kwenye tovuti hii au ndani ya Kituo cha Mteja.

UTAMBULISHO MTANDAONI

Profaili rasmi

Link za profaili rasmi zitaonekana hapa baada ya kuongezwa kwenye Usimamizi Trust Centre.

USALAMA NA UWAJIBIKAJI

Udhibiti halisi, si alama zisizothibitishwa.

Tunaeleza udhibiti uliowekwa kwenye mifumo yetu na hatudai vyeti vya wahusika wengine mpaka viwe vimepatikana kweli.

UNATAKA KUTHIBITISHA JAMBO?

Tuulize kabla hujaendelea.

Ukipokea quotation, invoice, ombi la malipo au ujumbe unaodai kutoka KafukuTech na una mashaka, wasiliana nasi kupitia tovuti hii kabla ya kuchukua hatua.

Thibitisha mawasiliano