Utengenezaji wa App za Simu
App za wateja na za matumizi ya ndani zinazounganishwa moja kwa moja na mfumo wa uendeshaji.
- Android na progressive web apps
- GPS, kamera na notifications
- Ukusanyaji wa data unaofanya kazi hata bila internet ya kudumu
- Kuunganisha API na admin panel