MIRADI INAYOWEZA KUJARIBIWA

Mifumo ya kidijitali iliyojengwa kulingana na utendaji halisi.

Tazama maelezo ya miradi, picha za mfumo, moduli muhimu na demo mubashara inapopatikana.

Huduma za SMS kwa Wingi
Fungua Maelezo ya Mradi
Custom Software

Huduma za SMS kwa Wingi

Mawasiliano ya SMS ya haraka na yanayoaminika kwa shule, biashara na taasisi.

Dashibodi ya taasisi yenye salio, matumizi na delivery reports\nMawasilianos, makundi na import ya CSV\nCampaign library na uchaguzi wa wapokeaji\nSender ID kwa kila taasisi\nHistoria ya utumaji na export\nWallet ya SMS na maombi ya bundle\nUser account, notifications na support
Mfumo wa Uzalishaji na Mauzo ya Miche ya Michikichi
Fungua Maelezo ya Mradi
Custom Software

Mfumo wa Uzalishaji na Mauzo ya Miche ya Michikichi

Mfumo wa kidijitali wa kusimamia uzalishaji, stoo na mauzo ya miche ya michikichi kwa mashamba na taasisi za kilimo.

Usimamizi wa uzalishaji wa miche\nUfuatiliaji wa stoo ya kitalu\nUsajili na usimamizi wa wateja\nUsimamizi wa mauzo ya miche\nUfuatiliaji wa oda na usambazaji\nUfuatiliaji wa stoo\nRipoti za mauzo na uzalishaji\nMajukumu na ruhusa za watumiaji\nDashibodi ya takwimu\nMuonekano rafiki kwa simu
MRADI WAKO UNAWEZA KUWA UNAOFUATA

Unahitaji mfumo unaolingana na utaratibu wako?

Tumia kikokotoo kupata makadirio ya awali ya bajeti au omba ushauri wa timu yetu.

Suluhisho Maalumu
Imejengwa kuendana naTaasisi yako